Programu na huduma · 05

Teknolojia na Mabadiliko ya Kidijitali

Jamii Wezeshi Digital Transformation Programme

Mahojiano na vyombo vya habari

Lengo

Kuhamasisha matumizi ya teknolojia katika biashara, vikundi vya kifedha na shughuli za kila siku za jamii.

Huduma zinazolengwa

  • Mafunzo ya matumizi ya simu janja katika biashara
  • Elimu ya matumizi ya mitandao ya kijamii
  • Mafunzo ya masoko ya kidijitali
  • Zana za kidijitali katika usimamizi wa biashara
  • Elimu ya usalama wa taarifa na akaunti za mtandaoni
  • Mifumo ya kidijitali katika usimamizi wa Vikoba

Walengwa

  • Wanawake wenye Vikoba
  • Wajasiriamali wadogo
  • Vijana
  • Vikundi vya kijamii
  • Watu wenye ujuzi mdogo wa kompyuta na mifumo ya kidijitali