Programu na huduma · 06
Kikoba Smart
Kikoba Smart Digital Support Programme

Lengo
Kuhimiza matumizi ya teknolojia katika usimamizi wa vikundi vya Vikoba, kwa kushirikiana na mfumo wa Kikoba Smart.
Huduma zinazolengwa
- Kupunguza changamoto za kumbukumbu za karatasi
- Kukuza uwazi katika taarifa za michango na mikopo
- Kusaidia vikundi kuelewa matumizi ya mifumo ya kidijitali
- Kuelimisha viongozi na wanachama kuhusu usimamizi wa taarifa za vikundi
- Kuhamasisha teknolojia katika kufanya maamuzi ya kifedha
Walengwa
- Viongozi wa Vikoba
- Makatibu na watunza fedha wa vikundi
- Wanachama wa Vikoba
- Vikundi vinavyotaka kuboresha usimamizi wa kumbukumbu zao
